E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Monday, June 16, 2014

TRUCK MPYA KUTOKA KWA AIKA NA NAHREEL (NAVY KENZO) - AIYOLA

WAKALI wa hit song 'BOKODO' ambao pia ni wapenzi wanaounda kundi la NAVY KENZO, AIKA na NAHREEL (ambaye pia ni prodyuza) wameachia truck nyingine leo inayokwenda kwa jina la AIYOLA.

Wanamuziki hao wamesema kuwa wimbo huu ni muendelezo wa nyimbo zao ambazo mara nyingi hugusa maisha yao halisi ya kimapenzi.

BOFYA HAPA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD AIYOLA YA NAVY KENZO

No comments:

Post a Comment