KAMA utakumbuka katika kombe la dunia kulikuwa na pweza aliyeitwa PAUL aliyekuwa akitabiri matokeo ya mechi na alikuwa akipatia mechi zote, safari hii nchini Dubai ameibuka Ngamia ambaye naye anatabiri.
Tayari ngamia huyo aitwaye SHAKEEN ambaye anamilikiwa na shabiki mmoja wa mpira nchini humo ameshatabiri mechi zillizotangulia huku akipatia mechi zote.
Tayari pia ameshatabiri mechi ya leo ya Portugal na German ambapo ametabiri Portugal kuibuka mabingwa.
No comments:
Post a Comment