Tayari jamaa ameshaanza kuachia ngoma moja moja mara baada ya wiki hii kuachia truck inayoitwa 'Siwezi' ambayo kamshirikisha 'partner' wake wa karibu mno Alyer pamoja na Lee Roy..
Unaweza kuisikiliza na kudownload truck hiyo kupitia mkito.com kupitia link hii ifuatayo
Pia unaweza kuwafollow kupitia instagram
@icon_jaz @officialleeroyfranko @aylervoice @cyril_reggy @deno_p..#Tzstandup..supportyourboyjazy#
No comments:
Post a Comment