KUPITA mtandao wa Instagram, mashabiki mbali mbali wauliza ina maana Ney wa Mitego ni 'Gentleman' kuliko Diamond? Hii imekuja mara baada ya Ney Mr 966
kupost picha ya ailiyekuwa mpenzi wake na mzazi mwenzie wa mtoto wake mmoja, mwigizaji SKYNER ALLY na kumtakia kila la kheri katika siku yake ya kuzaliwa.
Wngi wa mashabiki wake wamemtaka Diamond kuiga kitu kutoka kwa Ney kwani pindi wanapoachana wapenzi wawili sio lazima kuwe na ugomvi au uhasama baina yao.
Cheki post ya Ney kwenye Instagram
No comments:
Post a Comment