E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Friday, May 8, 2015

UMEALIKWA? KAMA BADO MIMI NAKUALIKA RASMI KWENYE UZINDUZI HUU WA VIDEO YA YOUNG SUMA FT G NAKO

KWA muda wa wiki kadhaa sasa tumekuwa tukiona matangazo kwenye mitandao ya kijamii ukiulizwa 'ARE YOU INVITED?'. Time hii hapa nakusogezea kuhusu tangazo hilo na kukujuza rasmi kuwa ni kuhusu uzinduzi rasmi wa
video ya YOUNG SUMA akimshirikisha memba wa kundi la WEUSI chorus maker G NAKO. Kila mmoja anakaribishwa kwenye party hii kukicheki kichupa hicho kilichoongozwa na DIRECTOR NISHER kutoka NISHER ENTERTAINMENT of course video ni kali balaa.

Party itaanza saa 2: 30 usiku na kuhusu location ambayo tukio litafanyika ni Mikocheni THE GREEN HILL zamani OASIS. Nimekuwekea ramani itakayokufikisha moja kwa moja eneo la tukio. 

Kipande cha video yenyewe hiki hapa chini


No comments:

Post a Comment