E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Thursday, January 7, 2016

Kutana na Bajaj yenye TV ndani...Nyimbo wanazopenda abiria je?


SIKU chache zilizopita nilitembelea mkoa wa IRINGA na kukutana na story moja iliyonivutia nikaona nikusogezee na wewe pia msomaji wangu. Ni stori inayohusu Bajaj ambayo ina Tv ndani na inapendwa sana abiria wakaazi wa maeneo ya Iringa. 
 Dereva wa Bajaj hii anafunguka kuhusu ubunifu huu, faida anayoipata na pia nyimbo zinazopendwa sana kwa sasa na abiria wake wakiwa safarini.
Bonyeza play hapo chini ukitumia dakika zako 3:49 kuipata stori yote..


No comments:

Post a Comment