E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Friday, February 12, 2016

ULIIMISS YOU HEARD NA SOUDY BROWN LEO KUHUSU KUHARIBIKA KWA UJAUZITO WA WEMA SEPETU? MMAJIBU YA IDRIS NA AUNTY EZEKEIL JE? YOTE NIMEKUWEKEA HAPA


Jana kupitia akaunti yake ya Instagram, the gossip cop himself, Soudy Brown alipost kuhusu ujauzito wa mwigizaji na mlimbwende kutoka Tanzania mwanadada Wema Sepetu kwamba amelazwa hospitali
na huenda amepata tatizo hivyo kuathiri ujauzito wake. Post hiyo nimekuwekea hapo chini.


Sasa leo kupitia segment ya 'You Heard' inayoruka kupitia XXL ya Clouds Fm, Soudy Brown amekuja na majibu yote ya maswali waliyokuwa wanajiuliza watu. Ameongea na rafiki wa Wema ambaye ni mwigizaji mwenzake, Aunty Ezekiel na pia mpenzi wa Wema Sepetu ambaye ni muhusika wa ujauzito wenyewe, Idriss Sultan.

Majibu yote utayapata kwa kubonyeza play hapo chini.

No comments:

Post a Comment