Mara baada ya Ney wa Mitego kuachia track yake ya 'Shika adabu yako' na 'kumchana' msanii mwenzake Ommy Dimpoz kuwa kwanini hampost mpenzi wake?
Basi Soudy Brown wa XXL ya Clouds Fm alipost picha ya zamani kidogo ya Ommy Dimpoz akiwa amekaa na msichana mmoja hivi.
Ndipo Soudy alipoandika kuwa msichana huyo amtafute na kweli msichana huyo amemtafuta Soudy na kujitambulisha kwa jina la Prisca. Unataka kujua kasema nini? Bonyeza play hapo chini..
No comments:
Post a Comment