E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Saturday, May 17, 2014

FAINALI FA: NI AMA ARENAL AU HULL CITY USIKU HUU

LEO zitahitimishwa fainali za kombe la FA ambapo timu ya Arsenal wataingia uwanjani kutetea nafasi pekee iliyobaki kuweza kuchukua kombe baada ya kutoshinda kombe lolote tangu mwaka 2005.


Leo pia inatabiriwa na wachambuzi wengi kuwa endapo Wenger atashindwa kuchukua kombe hilo, basi yawezekana kabisa ikawa ndio mwisho wa kibarua chake klabuni hapo.

Mechi hii itachezwa leo saa moja usiku. Bado Arsenal ana nafasi kubwa ya kushinda mechi hii ya leo kulingana na rekodi iliyoko ya mechi walizokutana na anaingia uwanjani akiwa na kikosi kizima. Tazama hapo chini:

Mechi tano muhimu walizokutana
England - Premier League ‎(EPL)‎ Apr 20, 2014 Hull City 0 - Arsenal FC 3
England - Premier League ‎(EPL)‎ Dec 4, 2013 Arsenal FC 2 - Hull City 0
England - Premier League ‎(EPL)‎ Mar 13, 2010 Hull City 1 - Arsenal FC 2
England - Premier League ‎(EPL)‎ Dec 19, 2009 Arsenal FC 3 - Hull City 0
England - FA Cup ‎(FA)‎ Mar 18, 2009 Arsenal FC 2 - Hull City 1


Mechi tano za mwisho

No comments:

Post a Comment