Basi hawa majamaa wameshafanya video ya hiyo ngoma na tayari wameachia 'teaser' pamoja na picha za utengenezwaji wa video hiyo.
Sehemu kubwa ya location video hiyo imefanyika katika mazingira ya UDSM katika maeneo kama vile uwanja wa michezo na Hall 4.
Video hiyo imeandaliwa na Jazzy Weely na kuongozwa na Director Papushka
Angalia picha za utengenezwaji wa video hiyo na kionjo cha Video hiyo kipo chini kabisa.
dah ebwana it seems ni bonge la video...we cant wait to c it
ReplyDeleteThanks mtu wangu kwa kuwa karibu na blog hii...trust me hii video ni hatari yan. Nitiweka hapa hapa ikitoka tuu
Delete