E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Monday, June 16, 2014

BRAND NEW SONG KUTOKA KWA MWANAFUNZI UDSM NARI FT NZAYA - SIKIO LA MTAA

NI HIP HOP truck nyingine kutoka kwa wanafunzi wa UDSM ambapo time hii nakuletea truck mpya kutoka kwa jamaa anayekwenda kwa jina la NARI
akiwa amemshirikisha NZAYA na ngoma inakwenda kwa jina la SIKIO LA MTAA.

Idownload na usikilize hiyo truck hapo chini halafu tupia comments zako hapo chini.
BOFYA HAPA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD TRUCK MPYA YA NARRY FT NZAYA - SIKIO LA MTAA

No comments:

Post a Comment