E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Friday, February 12, 2016

Ladies and Gentlemen,AKA & Diaamond Platnumz - Make Me Sing (Official Video) nimeipata tayari. Itazame hapa


Mabibi na mabwana ninawasogezea collabo matata kutoka kwa Mtanzania, Diamond Platnumz akishirikiana na Msouth Afrika, A.K.A ngoma inayokwenda kwa jina la 'Make Me Sing'.

Diamond anakuwa msanii wa pili kutoka Tanzania kuachia rasmi collabo na msouth Afrika huyo baada ya ile hitsong ya 'Dont Bother' aliyofanya na mtanzania mwingine, Joh Makini.

Tayari ngoma ishatambulishwa MTV BASE na sasa unaweza kutazama na kuidownload hapo chini. Enjoy
 

No comments:

Post a Comment