E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Tuesday, February 16, 2016

You Heard 16 02 2016 Kuhusu Ommy Dimpoz na picha ya aliyekuwa mpenzi wake walipokuwa shule

Mara baada ya Ney wa Mitego kuachia track yake ya 'Shika adabu yako' na 'kumchana'  msanii mwenzake Ommy Dimpoz kuwa kwanini hampost mpenzi wake?

Friday, February 12, 2016

UBUNGE WA PROF. JAY ULIPINGWA MAHAKAMANI. NI IPI HUKUMU YAKE? STORY NZIMA IKO HAPA


Mara baada ya uchaguzi wa October 25 mwaka 2015 kuisha, wananchi wa jimbo la Mikumi waliamua kuongeza idadi ya vichwa vikali vya Hip Hop nchini kuingia bungeni na ndipo walipomchagua Mh. Joseph Haule maarufu kama Prof. Jay  aliyekuwa akigombea

Ladies and Gentlemen,AKA & Diaamond Platnumz - Make Me Sing (Official Video) nimeipata tayari. Itazame hapa


Mabibi na mabwana ninawasogezea collabo matata kutoka kwa Mtanzania, Diamond Platnumz akishirikiana na Msouth Afrika, A.K.A ngoma inayokwenda kwa jina la 'Make Me Sing'.

ULIIMISS YOU HEARD NA SOUDY BROWN LEO KUHUSU KUHARIBIKA KWA UJAUZITO WA WEMA SEPETU? MMAJIBU YA IDRIS NA AUNTY EZEKEIL JE? YOTE NIMEKUWEKEA HAPA


Jana kupitia akaunti yake ya Instagram, the gossip cop himself, Soudy Brown alipost kuhusu ujauzito wa mwigizaji na mlimbwende kutoka Tanzania mwanadada Wema Sepetu kwamba amelazwa hospitali

Thursday, January 7, 2016

Kutana na Bajaj yenye TV ndani...Nyimbo wanazopenda abiria je?


SIKU chache zilizopita nilitembelea mkoa wa IRINGA na kukutana na story moja iliyonivutia nikaona nikusogezee na wewe pia msomaji wangu. Ni stori inayohusu Bajaj ambayo ina Tv ndani na inapendwa sana abiria wakaazi wa maeneo ya Iringa. 

Friday, December 25, 2015

Friday, December 18, 2015

Exlussive Interview na Kevi, Msanii wa Bongo Fleva kutoka Karatu: Wasanii anaowakubali, Producer mkali kwake ni nani? Majibu yako hapa

UNAPOKUWA msanii unayechipukia inakuwa changamoto kupata airtime kwenye radio na TV stations. Inakuwa ngumu zaidi pale ambapo unakuwa unaishi mbali na miji mikubwa ambapo radio na TV stations zipo mbali. 
Nimetembelea wilaya ya KARATU

Sunday, November 1, 2015

KOLABO YA DIAMOND NA WIZKID INANUKIA? ATARUDI TENA BONGO? MAJIBU YAKO HAPA!

UNAPOZUNGUMZIA mastaa wa muziki barani Afrika kwa sasa huwezi kosa kumtaja Diamond Platnumz kutoka area code +255 (Tanzania) na star wa hit song Ojuelegba wa Nigeria Wizkid.  

Saturday, October 31, 2015

MCHUMBA WANGU HAPENDI KUJULIKANA - WIZKID

KUPITIA kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, hit maker wa OJUELEGBA, Wizkid amefunguka kuwa hapendi kuweka maisha yake nje ya muziki kwenye vyombo vya habari.